Uchaguzi wa rais nchini Tanzania: mtihani mkubwa kwa CCM na Watanzania / Presidential election in Tanzania: A big test for CCM and Tanzanians

Issue-4-Web3

Tarehe 25, raia wa Ivory Coast walipiga kura kumchagua kumchagua rais atakayeiongoza nchi kwa awamu ingine. Michuano ilikuwa kati ya Rais Alassane Ouattara aliye madarakani na mpinzani AffiGuessan na mpaka hivi sasa matokeo bado hayajulikana. Lakini kote duniani macho yameelekezwa nchini Tanzania ambapo kwa miaka 54 toka ishike iwe madarakani Chama Cha mapinduzi, CCM, hakijawahi kutikiswa na upinzani kama ilivyo safari hii, na hajatokea mpinzani aliyeweza kuwahamasisha na kuwatia moyo wannchi kama Edward Lowassa akiyekiahama CNM na kuenda kujiunga na upinzani.

Kutokana na michuano mikali iliyopo kati ya hawa wapinzani wawili John Pombe (54) wa CCM na Edward Lowassa (63) wa UKAWA (umoja wa vyama vya upinzani) haijulikani kwa kweli nani ataibuka na ushindi na nani atakubali kushindwa kirahisi.

Wataalamu wengi wanaofuatilia kwa karibu kinyanganyiro cha urais nchini Tanzania wanadai kuwa uchaguzi wa muhula huu ni wa kihistoria na wa aina yake maana haijawahi kutokea hamasa ya aina hii katika watu hususan vijana.


October 25, two people went to the polls to elect their presidents. In Ivory Coast, the race was between Alassane Ouattara (incumbent) and Pascal Affi Guessan (the challenger) and the final are not in yet. However, across the world, it was Tanzanian presidential election that was on the spotlight and no one has been able to predict who won the election. For 54 years it has been ruling the country, Chama Cha Mapinduzi (CCM) has never been so tested by the opposition and no one could tell who would win and would be willing to concede defeat considering the energy and involvement of members on both sides.

Many observers consider this election to be exceptional and historical because for the 54 years Chama Cha Mapinduzi (CCM) has been in power no opposition has shaken up the party in such astonishing fashion and no political opponent has hectically galvanized such a huge number of people into the road for change.

In fact, the field had two well-known prominent politicians: John Pombe Magufuli (56) from CCM, (party of revolution), and Edward Lowassa (63), former CCM member who joined the union of opposition parties, UKAWA, after he has been banned by his former party from seeking presidential nomination despite being popular than any other candidate, the union of opposition parties.

Leave a Reply